elimu YA UZAZI NA AFYA
Afya ya uzazi ni suala ambalo ni muhimu katika jamii yoyote, lakini upatikanaji wa huduma hii hukabiliwa na changamoto mbalimbali na hivyo kuwaweka
ELIMU YA UZAZI NA AFYA
Afya ya uzazi ni suala ambalo ni muhimu katika jamii yoyote, lakini upatikanaji wa huduma hii hukabiliwa na changamoto mbalimbali na hivyo kuwaweka
ORODHA YA HOSPITALI TANZANIA
Kati ya Hospitali 269 nchini, 120 ni hospitali za serikali chini ya wizara ya maendeleo ya jamii zinazobaki 149 ni hospitali binafsi za imani za kidini, hospitali binafsi za kibiashara au taasisi zisizo za kiserikali, Bofya soma zaidi ili kusoma orodha ya Hospitali za Tanzania.
Wiki Ya Kwanza Ya Ujauzito, ni Vitu Gani Vya Kuzingatia?
Hongera kama wewe ni mama mjamzito, baaada ya kupata ujauzito, wazazi wengi wamekuwa wakipenda kujua hatua atakazopitia mama mjamzito mpaka kujifungua kwake. Hatua hizi siyo tuu zitamsaidia mwanamke au ni maalumu kwa ajili ya wanawake pekee, bali hata wanamume kwa sababu kwa kujua hatua anazopitia mwenza wako, zitakusaidia kwenye kumsaidia pindi kunapotokea uhitaji. Tovuti hii itakufafanulia hatua hizo wiki hadi wiki na nini kinatokea kuanzia uchavushaji unapotokea, mtoto akiwa tumboni mpaka siku ya kujifungua.
maswali na majibu
Hata kama umewahi kuwa mjamzito hapo awali, bado utakuwa na maswali mengi kuhusu jinsi unavyoweza kujitunza mwenyewe katika kipindi cha miezi 9 uliyo na mimba. Hapa tuna baadhi ya maswali na majibu, ikiwa ni pamoja na majibu kutoka kwa mama wajawazito. Kumbuka, ikiwa huoni maswali unayotafuta unaweza kuwasiliana nasi wakati wowote.
Dalili za awali za Mwanamke MjaMzito
Je, unaweza kuwa mjamzito? Uthibitisho ni katika kipimo cha ujauzito. Lakini
hata kabla ya kukosa hedhi, unaweza kushuku au kutumaini kuwa wewe ni mjamzito kwa dalili zifuatazo.

Kukosa Hedhi
Ikiwa uko katika miaka yako ya kuzaa na wiki moja au zaidi imepita bila kuanza kwa mzunguko wa hedhi unaotarajiwa, unaweza kuwa mjamzito.

Mkojo Kuongezeka
Unaweza kujikuta ukikojoa mara nyingi zaidi kuliko kawaida. Kiasi cha damu katika mwili wako huongezeka wakati wa ujauzito, na kusababisha figo zako kusindika maji ya ziada ambayo huishia kwenye kibofu chako.

Uchovu
Uchovu pia uko juu kati ya dalili za mapema za ujauzito. Hakuna mtu anayejua kwa hakika nini husababisha usingizi wakati wa trimester ya kwanza ya ujauzito.
Machapisho Ya Hivi Karibuni
Machapisho Ya Hivi Karibuni

PEDI/VITAMBAA VYA KUJIHIFADHIA
Mwanamke ijue pedi unayoitumia kwanza ili kulinda afya yako ya uzazi na kuwa salama kipindi chote uwapo kwenye Siku zako na hata umalizapo

MABADILIKO KATIKA MZUNGUKO WA HEDHI
Ni vitu gani vinasababisha Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi?

MZUNGUKO WA HEDHI: IPI NI KAWAIDA NA ISIYO YA KAWAIDA?
Mzunguko wako wa Hedhi unaelezea mengi kuhusu afya yako. Elewa namna ya kufahamu mzunguko wako na nini cha kufanya ikitokea utofauti (irregularities)

MABADILIKO YA UKUAJI
Mwili wa binadamu hupitia mabadiliko mbalimbali katika ukuaji wake, kuanzia kuzaliwa hadi kufa kwake. Hufikia wakati mwili huingia katika hatua ya kukomaa na kuweza kuzalisha kiumbe kingine. Kipindi hicho huitwa balehe ambapo huhusisha mabadiliko yote ya kimwili – kimawazo na kihisia.

KUPATA UJAUZITO
Hongera kama wewe ni mama mjamzito, baaada ya kupata ujauzito, wazazi wengi wamekuwa wakipenda kujua hatua atakazopitia mama mjamzito mpaka kujifungua kwake.

WIKI YA 2 YA UJAUZITO
Katika wiki hii bado huna mimba /hujawa mjamzito inawezekana upo kwenye kipindi cha kutoa yai ambalo litakuja kuwa mtoto kamili likirutubishwa na mbegu ya mwanaume.